Kuunganisha Kamera kwenye TV
Kwa kuunganisha kamera kwenye TV, unaweza kuitumia kwa mkutano wa video, n.k.
  1. Unganisha kamera kwenye tundu la USB IN.
  2. Fanya Dashibodi ya Nyumbani kwa kubofya kitufe cha Kiteua mkondo wa kuingiza maudhuiKiteua mkondo wa kuingiza maudhui kwenye kiungambali.
  3. Chagua Kamera.
Kwa ufafanuzi wa kina wa vipengele vya kamera, rejelea mwongozo wa kifaa.
Lazima kamera inununuliwe kando.
Inapendekezwa kwamba utumie bidhaa ambazo zimefanyiwa majaribio na kuonekana kwamba zinaingiliana na TV.
Logitech C920/C920s/C922 Pro/C922x/C925e/C930c/C930e
Huenda kamera isitundikwe kwenye TV kutegemea na hali ya usakinishaji.
Kifaa cha kuhifadhi cha USB kinaweza kukosa kufanya kazi inavyofaa ukitumia kitovu cha USB au kebo ya kurefusha.