Ili utumie Magic Explorer
Unaweza kutafuta kwa urahisi kwenye programu mbalimbali kulingana na maandishi kwenye skrini au taarifa ya video.
  1. Magic Explorer inaweza kutumiwa ikiwa rangi ya kielekezi cha Magic Remote kitabadilika (mfano, kwenye Kielekezi cha SamawatiKielekezi cha Samawati).
  2. Bonyeza na ushikilie kitufe cha Kigurudumu (OK) kwenye picha ikiwa unatazama matangazo, au kwenye maandishi ikiwa unatumia Mwongozo, Mipangilio.
  3. Kwenye skrini ya matangazo, maneno msingi yanayohusiana na kipindi yanaonekana.
    Kwenye maandishi katika programu, aikoni inaonekana inayokuruhusu kuenda kwenye kipengee, kama vile Kivinjari cha Tovuti au Tafutiza.
  4. Chagua kipengee cha kutumia.
    Unaweza kusogeza kipengee kwa kubonyeza vitufe vya JuuJuu/ChiniChini/KushotoKushoto/KuliaKulia kwenye rimoti.
  5. Unaweza kutoka Magic Explorer kwa kubonyeza kitufe cha BACKBACK kwenye rimoti.

Magic Explorer Skrini ya Moja kwa MojaMagic Explorer Skrini ya Moja kwa Moja Magic Explorer Skrini ya ProgramuMagic Explorer Skrini ya Programu

Pia unaweza kutumia kipengele hiki kwa kubonyeza na kushikilia kitufe cha OK kwenye rimoti ya kawaida.
Vipengele vilivyopo vinatofautiana kutegemea na eneo au huduma.
Huenda baadhi ya modeli zisitumike.