Kutatua Matatizo ya Sauti
Kama utakumbana na mojawapo ya matatizo yaliyoorodheshwa hapa chini wakati unapotumia bidhaa, tafadhali angalia vitu vifuatavyo. Huenda bidhaa haina tatizo lolote.
Kama unatumia kisanduku cha settop box, kizime, halafu ukiwashe tena.
Hakikisha kwamba kisanduku cha set-top box kimeunganishwa vizuri kwenye televisheni yako.
Hakikisha kwamba kisanduku cha set-top box kimeunganishwa vizuri kwenye televisheni yako.
- Skrini iko sawa lakini hakuna sauti inayotoka.
- Jaribu idhaa nyingine.
- Kama unatumia kisanduku cha set-top box, hakutakuwa na sauti ikiwa umeweka ukubwa wa sauti ya kisanduku cha set-top box au 0 au hata Nyamazisha kwenye televisheni yako. Weka ukubwa wa sauti katika kiwango kinachofaa.
-
Sauti
Zao la Sauti
Weka Zao la Sauti kwenye Kifaa cha Optical Out + Spika ya TV au Tumia Spika ya TV kisha uiangalie tena. Ikiwa unaweza kusikia sauti bila tatizo lolote, angalia muunganisho kwa spika za nje kama vile upau wa sauti na mipangilio ya spika za nje.
- Hakuna sauti inayotoka kwenye mojawapo ya spika.
-
Sauti
Mipangilio ya Kiwango cha Juu
Usawa
Rekebisha usawazishaji kama inavyohitajika kwa kutumia kitufe cha Uabiri Usawa. - Unapounganisha kwenye AV IN, hakikisha kuwa kebo za sauti za kushoto/kulia (nyeupe/nyekundu) zimeunganishwa vizuri. (AV IN Tundu la linapatikana katika aina fulani pekee.)
- Sauti ya televisheni hailandanishi na picha, au sauti inakatikakatika.
- Kama hili litatendeka kwa baadhi ya idhaa tu, inaweza kuwa imesababishwa na ishara ya uwasilishaji matangazo ya kampuni inayoyawasilisha. Tafadhali muulize mtoa huduma wako wa utangazaji (unaotumianyaya/kebo) akuangalilie tatizo li wapi.
-
Kama idhaa zote hazilandanishi, enda kwa
Sauti Mipangilio ya Kiwango cha Juu Linganisha Skrini na Sauti na urekebishe ulandanishaji.
- Ikiwa unatumia kisanduku cha dekoda, wasiliana na mtengenezaji wake.
- Ukubwa wa sauti unabadilika ninapobadilisha idhaa.
- Sauti katika uwasiliniaji wa matangazo ya vituo vya utangazaji inatofautiana.
-
Sauti
Mipangilio ya Kiwango cha Juu
Urekebishaji Sauti Kiotomatiki
Weka Urekebishaji Sauti Kiotomatiki kuwa Imewashwa. - Ikiwa unatumia kisanduku cha dekoda, wasiliana na mtengenezaji wake.
- Sauti inaendelea kubadilika.
-
Sauti
Mipangilio ya Kiwango cha Juu
Urekebishaji Sauti Kiotomatiki
Weka Urekebishaji Sauti Kiotomatiki kuwa Imewashwa.
-
Sauti haitoki au ni muziki wa mandharinyuma unaochezwa katika baadhi ya vipindi.
(Vipindi vinavyotolewa na kampuni za utangazaji kwa lengo la kuuzwa nje.) -
Weka lugha unayoipendelea katika
Lugha ya Sauti.