Kutatua Matatizo ya Skrini
Kama utakumbana na mojawapo ya matatizo yaliyoorodheshwa hapa chini wakati unapotumia bidhaa, tafadhali angalia vitu vifuatavyo. Huenda bidhaa haina tatizo lolote.
Kama unatumia kisanduku cha settop box, kizime, halafu ukiwashe tena.
Hakikisha kwamba kisanduku cha set-top box kimeunganishwa vizuri kwenye televisheni yako.
Hakikisha kwamba kisanduku cha set-top box kimeunganishwa vizuri kwenye televisheni yako.
- Inasema kuwa hakuna ishara kwenye skrini.
- Angalia kama antena au kebo iliyounganishwa kwenye kifaa cha nje imeunganishwa vizuri kwenye TV.
-
Enda kwa
ili uchague ingizo lililounganishwa.
- Angalia ikiwa kifaa cha kando, kama vile kisanduku cha set-top box au kicheza cha Blu-ray vimewashwa.
- Siwezi kuona baadhi ya vituo.
-
Inaanzisha
Jumla Idhaa Kutiuni Idhaa (Kitiuni Idhaa & Mipangilio) Kutuuni Kioto.
- Ikiwa unatumia kisanduku cha dekoda, wasiliana na mtengenezaji wake.
- Skrini inakatwa.
-
Nenda kwenye
Picha na ubadilishe Uwiano wa Kipengele.
- Unapotumia kifaa cha nje (kisanduku cha kupeperushia matangazo, kiweko cha michezo, n.k.), angalia mipangilio ya ukubwa wa skrini katika menyu ya Mipangilio ya kifaa.
- Skrini inatingizika baada ya kutokea mistari ya wima/ulalo na mtindo wa neti.
- Unganisha simu pasiwaya, vikausha nywele, keekee za umeme n.k. kwenye chanzo tofauti cha nishati. Huenda tatizo linasababishwa na vifaa vya umeme vya kiasi kikubwa cha mawimbi kama vile TV nyingine au vyanzo vya mwingwi wa umeme dhabiti vilivyo karibu.
- Kila idhaa ina ubora tofauti wa picha.
- Kutegemea na aina ya video zinazotolewa na watangazaji, idhaa zinaweza kuwa na ubora tofauti wa picha.
- Ikiwa unatumia kisanduku cha dekoda, wasiliana na mtengenezaji wake.
- Kuna tofauti katika ubora wa picha na zile zinazoonekana kwenye duka.
- Kutegemea na aina ya video inayotolewa na watangazaji, huenda kukawa na tofauti katika ubora wa picha na zile zinazoonyeshwa kwenye duka.
- Kipindi kilichotangazwa kidijitali hukoma au skrini yake imevunjika.
- Hili hutendeka kama ishara ni hafifu au kuna upokezi usio thabiti. Rekebisha upande inaoangalia antena au uangalie muunganisho wa kebo.
-
Jumla
Idhaa
Kutiuni Idhaa
(Kitiuni Idhaa & Mipangilio)
Kutuni kwa Mikono
Kama ishara ni hafifu mno katika Kutuni kwa Mikono, wasiliana na kituo cha utangazaji au afisi ya usimamizi ili ishara ziangaliwe. - Ikiwa unatumia kisanduku cha dekoda, wasiliana na mtengenezaji wake.
- Wakati ingizo la HDMI linatumika, mstari thabiti wa wima au rangi ya ukungu inaonekana kwenye kingo za juu/chini/kushoto/kulia kwa skrini.
-
Picha
Uwiano wa Kipengele
Tambaza Tu
Weka Tambaza Tu kuwa Imezimwa.
Tambaza Tu hukuonyesha picha asilia kama ilivyo. Ikiwa mawimbi si thabiti, pande za juu/chini/kushoto/kulia za skrini zinaweza kuwa na theluji.
- Sioni chochote, au picha inakaa ikiyumba wakati ninapojaribu kuunganisha kebo ya HDMI.
- Angalia kama kebo yako ya HDMI® imetimiza vigezo. Unaweza kushuhudia kuyumba kwa picha au skrini isiyo na kitu ikiwa kebo ya HDMI® ina kasoro (imekunjika, imevunjika).
- Hakikisha kwamba kebo imeingizwa vizuri kwenye tundu. Kutoshikilia vizuri kunaweza kusababisha matatizo ya kuonyesha picha katika skrini.
-
Ikiwa unatumia kisanduku cha dekoda cha UHD, rekebisha
Jumla Vifaa Mipangilio ya HDMI HDMI Deep Color.
- Skrini inaonekana kuwa na mwangaza hafifu sana au ni nyeusi.
-
Picha
Teua Modi
Swichi Teua Modi kuwa hali ya picha unayopendelea. (Kawaida, Dhahiri, n.k.)
Hili litatumika katika modi ya kiingizo ya sasa pekee. -
Jumla
Kuhifadhi Nishati
Badilisha Hatua ya Kuokoa Nishati kuwa aidha Imezimwa au Kiwango cha chini.
- Ung`aavu wa skrini unaendelea kubadilika.
-
Jumla
Kuhifadhi Nishati
Badilisha Hatua ya Kuokoa Nishati kuwa aidha Imezimwa au Kiwango cha chini.
- Skrini inaonyesha picha za rangi nyeusi na nyeupe au inaonyesha rangi za ajabu.
- Angalia hali ya ingizo au muunganisho wa kebo.
-
Enda kwa
ili uchague ingizo lililounganishwa.
- Wakati unaunganisha kwenye AV IN, angalia ili kuhakikisha kuwa kila kebo inalandana na muunganisho wa rangi sawia.
- AV IN Tundu la linapatikana katika aina fulani pekee.
- Video ya ULTRA HD haionyeshi.
- Kwa kebo nyingine za HDMI, huenda mawimbi yasipokelewe.
- Badilisha mipangilio ya kifaa kilichounganishwa kwenye wimbi linalotumika.