Kutatua Matatizo ya Maudhui
Kama utakumbana na mojawapo ya matatizo yaliyoorodheshwa hapa chini wakati unapotumia bidhaa, tafadhali angalia vitu vifuatavyo. Huenda bidhaa haina tatizo lolote.
Sioni maudhui yoyote katika MWANZO.
Huenda usiweze kuona maudhui ikiwa mpangilio ya nchi kuhusu huduma imebadilishwa. Badilisha hadi kwa nchi utakayopata huduma katika MipangilioMipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Jumla Mfumo Eneo Nchi ya Huduma.
(Huenda baadhi ya modeli zisitumike.)
Ikiwa huono baadhi ya programu, huenda ni kwa sababu ulizifuta. Tafadhali sakinisha programu inayofaa tena.
Programu ikifutwa, unaweza kuipakua kwenye Apps na kuisakinisha tena. Nenda kwenye MWANZOMWANZO Apps ili upate na kusakinisha unachotaka.
Aina ya faili zinazoweza kutumika hutofautiana kutegemea nchi.
Maudhui yanayopatikana yanaweza kubadilishwa au kuondolewa na mtoa huduma.