Kuhusu Mwongozo wa Mtumiaji
Kwa maelezo kuhusu kila kipengee kilicho katika televisheni ya webOS TV, soma Mwongozo wa Mtumiaji inayopatikana kwenye televisheni.
Unaweza kuangalia maelezo ya Mwongozo wa Mtumiaji husika kwa kubofya Aikoni ya ChaguoAikoni ya Chaguo Mwongozo wa Mtumiaji katika kona ya kulia juu unapotumia programu, au kwa kubofya Njia Mkato ya Mwongozo wa MtumiajiNjia Mkato ya Mwongozo wa Mtumiaji wakati wa uwekaji katika Mipangilio.
Ukibofya Jaribu Sasa katika Mwongozo wa Mtumiaji, unaweza kuenda kwenye kipengele au mipangilio hiyo.
Rangi ya maandishi katika Mwongozo wa Mtumiaji hutumiwa kuonyesha yafuatayo:
Picha na maelezo yaliyo katika Mwongozo wa Mtumiaji zinaweza kutofautiana kutegemea modeli na mazingira ya kufanyia kazi.
Mtungamano wa bidhaa zinaweza kubadilishwa pasi na notisi ya awali kutokana na utendaji wa sasisho za bidhaa.