Kutazama Picha
Unaweza kuteua picha kutoka kwenye programu ya Kichezaji cha Maudhui na uitazame.
Unaweza kutumia vipengele zaidi kwa kubonyeza kitufe cha ChiniChini kwenye rimoti huku ukitazama picha.

Kicheza pichaKicheza picha

  1. Huonyesha maudhui ya awali.
  2. Huanzisha onyesho la slaidi.
  3. Huonyesha maudhui yanayofuata.
  4. Huzungusha picha.
  5. Huongeza au kupunguza picha.
  6. Picha za digrii 360 zinaweza kutazamwa katika dirii 360.
    Kutumia MCHEZO WA 360˚ VR kwa picha ya kawaida kunaweza kubadili umbo la picha.
    Huenda baadhi ya modeli zisitumike.
  7. Hucheza faili ya muziki iliyoteuliwa kwenye kifaa cha hifadhi kama muziki wa chinichini.
  8. Huweka ukubwa wa picha au kubadilisha kasi au madoido ya onyesho slaidi.
    Huenda baadhi ya modeli zisitumike.