Kusikiliza Muziki
Unaweza kuteua wimbo kutoka kwenye programu ya Kichezaji cha Maudhui na uucheze.
Unaweza kutumia vipengele zaidi kwa kubonyeza kitufe cha ChiniChini kwenye rimoti huku ukicheza wimbo.

Kicheza MuzikiKicheza Muziki

  1. Unaweza kuweka hali ya kucheza bila mpangilio.
  2. Unaweza kuweka hali ya kurudia kucheza.
  3. Muziki unapatikana kwa faili zinazoutoa.
    Katika baadhi ya faili za muziki, unawez kuchagua sehemu ya wimbo mahususi na usogeze mahali pa urudiaji.
    Kipengee cha nyimbo kinatumika tu kwenye baadhi ya vifaa.
    Maneno ya wimbo huenda hayataonekana kwa usawa kutegemea data ya maneno ya muziki yaliyo kwenye faili ya muziki.
  4. Unaweza kusikiliza muziki skrini ikiwa imezimwa.
  5. Ulandanishi wa Maneno : Unaweza kuweka kasi ya maneno.
    Huenda kipengele hiki kisitumike kutegemea na muziki.
    Mwongozo wa Mtumiaji : Sogeza kwenye programu ya Mwongozo wa Mtumiaji.
    Acha Kutumia Programu : Huzima programu kuacha kufanya kazi chinichini.