Kuunganisha Vifaa vya Home IoT
Unaweza kuangalia na kudhibiti hali ya Vifaa vya Home IoT iliyounganishwa.
- Sakinisha programu ya LG ThinQ kwenye simu yako mahiri.
- Ingia kwenye akaunti yako ya LG ThinQ na usajili kifaa chako LG ThinQ.
-
Fanya Dashibodi ya Nyumbani kwa kubofya kitufe cha
kwenye kiungambali.
-
Teua
juu kulia.
- Ingia kwenye akaunti yako ya LG ThinQ. Orodha ya vifaa LG ThinQ vilivyosajiliwa itaonekana.
Ikiwa uko kwenye eneo ambapo programu ya LG ThinQ haitumiki, muunganisho wa kifaa cha LG ThinQ hautatumika.
Ili kusajili kifaa chako cha IoT, teua Unganisha Vifaa vya Home IoT na ufuate maagizo ili utumie mipangilio.
Ikiwa unadhibiti kifaa cha nje kutoka kwenye programu yako ya mkononi, huenda usiweze kudhibiti kifaa kutoka kwenye TV yako. Acha kutumia programu ya mkononi ili uidhibiti kutoka kwenye TV yako.
-
Unaweza kuangalia mwongozo wa muunganisho wa kila aina ya Vifaa vya Home IoT.
Unaweza kuunganisha na kuona vifaa vilivyosajiliwa kwa akaunti yako ya LG ThinQ au Vifaa vya IoT.
Pindi tu kifaa kinapounganishwa, kadi itabadilishwa hadi ukubwa mdogo zaidi na kuonekana chini ya orodha ya muunganisho wa vifaa. -
Chagua
Badilisha vifaa vya IoT vya nyumbani.
Hariri Orodha : Unaweza kuficha au kuonyesha Vifaa vya Home IoT vilivyounganishwa na kupangilia tena orodha.
Vipengee vinavyoweza kuwekwa vinategemea na modeli au eneo.
Vifaa vya IoT vinavyoweza kuunganishwa kwenye TV vinaweza kubadilika bila ilani.
Vifaa vya LG ThinQ vinavyoweza kuunganishwa na vipengele vinavyopatikana vinaweza kutofautiana kati ya kifaa cha mkononi na TV.