Saa na Kipima Muda
MipangilioMipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Jumla Mfumo Saa na Kipima Muda
Unaweza kuangalia saa au usanidi mipangilio inayohusiana.
Weka Kiotomatiki
Wakati TV imewekwa kiotomatiki wakati wa kutangaza kidijitali taarifa inayotumwa kutoka kwenye kituo cha kutangaza au wakati wa kutumwa kutoka kwenye seva.
Wakati / Tarehe / Ukanda wa Saa
Unaweza kuweka saa na tarehe mwenyewe ikiwa zilizowekwa kiotomatiki si sahihi.
Ukichagua mfumo wa kurekebisha muda mwenyewe antenna ikiwa imeunganishwa, huenda ratiba taarifa, mwongzo wa kipindi, n.k visifanye kazi vizuri.
Ukanda wa Saa Maalum
Wakati menyu ya Maalum katika Ukanda wa Saa, Ukanda wa Saa Maalum imewashwa.
Viweka Muda
Kiweka muda wa Kulala
Zima runinga wakati unaobainisha.
Ikiwa hutaki kuteua Kiweka muda wa Kulala, chagua Imezimwa.
Washa Kipima Muda
Weka Washa Kipima Muda kuwa Imewashwa.
TV imewashwa na inaonyesha idhaa iliyowekwa wakati mmoja.
  • Wakati : Weka saa ambayo TV inapaswa kuwashwa.
  • Rudia Kiweka muda : Weka siku ya wiki. Weka chaguo kuwa Hakuna ili kutumia kipengele hiki mara moja pekee.
  • Ingizo : Weka ingizo la nje ili kuonyesha wakati nishati imewashwa.
  • Idhaa ya Kiweka Muda : Weka idhaa ya kuonyesha wakati nishati imewashwa. Chaguo hili linaweza kuwekwa tu wakati Ingizo imewekwa kuwa TV.
  • Sauti : Weka kiwango cha sauti wakati nishati imewashwa.
Zima Kipima Muda
Weka Zima Kipima Muda kuwa Imewashwa.
TV inazimika saa iliyowekwa.
  • Wakati : Weka saa ya kuzima TV.
  • Rudia Kiweka muda : Weka siku ya wiki. Weka chaguo kuwa Hakuna ili kutumia kipengele hiki mara moja pekee.
Kuzima Kiotomatiki baada ya Saa 4
Usipobonyeza kitufe chochote kwa saa 4 baada ya TV kuwashwa na kipengele kama vile Washa Kipima Muda, TV itazimika kiotomatiki.
Ili kuhakikisha kwamba TV haizimiki kiotomatiki weka Kuzima Kiotomatiki baada ya Saa 4 iwe Imezimwa.
Huenda baadhi ya modeli zisitumike.
Ili utumie Washa Kipima Muda/Zima Kipima Muda weka saa kwa usahihi.