Kutumia Arifa
MipangilioMipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Jumla Mfumo Mipangilio ya Ziada Arifa
Unaweza kutazama au kufuta arifa kwenye programu za TV na huduma. Kwa arifa zinazotumia njia mikato, unaweza kuenda moja kwa moja kwenye programu au tovuti hiyo.

Programu ya Kituo cha ArifaProgramu ya Kituo cha Arifa

  1. Unaweza kuangalia maelezo kwa kuteua kipengee unachotaka. Ikiwa kinatumia njia mikato, unaweza kufungua programu.
  2. Unaweza kufuta arifa.
  3. Hufunga programu.
    Ili kuzima programu kuacha kufanya kazi chinichini, bonyeza kitufe cha Vitendo ZaidiVitendo Zaidi kwenye kidhibiti mbali na uteue Acha Kutumia Programu.