Tangazo
MipangilioMipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Jumla Mfumo Mipangilio ya Ziada Tangazo
Kama TV yako ina muunganisho wa intaneti, webOS inaweza kutumia kidakuzi cha kudhibiti marudio ili kufuatilia mara ambazo tangazo linaoneshwa kwenye TV yako.
Maelezo haya yanatumiwa ili kusaidia kupunguza matukio ya kuonyeshwa tangazo moja mara nyingi. Unaweza kufuta kidakuzi hiki, kukiwasha au kukizima wakati wowote kwa kwenda kwenye mipangilio ya Tangazo katika runinga yako.
Hakuna maelezo yanayoweza kufanya ujulikane yanahusishwa na kidakuzi hiki.
Punguza Ufuatiliaji wa AD
Ikiwekwa kuwa Imewashwa, matangazo yaliyoboreshwa kulingana na mambo yanayowavutia watumiaji huenda yasitolewe.
Badilisha AD ID
Maelezo ya vivutio vya mtumiaji yanakusanywa upya na matangazo yanatolewa kulingana na maelezo.
Huenda baadhi ya modeli zisitumike.