Tumia Spika ya TV Pasiwaya
MipangilioMipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Zao la Sauti Tumia Spika ya TV Pasiwaya
Kifaa cha Bluetooth
Unganisha kifaa cha sauti cha Bluetooth bila waya ili ufurahie sauti ya TV kwa urahisi zaidi.
Rejelea mwongozo wa kifaa cha sauti cha Bluetooth kwa maelezo ya jinsi ya kuunganisha na kutumia kifaa.
  • Bonyeza ORODHA YA VIFAAORODHA YA VIFAA ili uone vifaa vilivyounganishwa au vifaa vingine vyovyote ambavyo vinaweza kuunganishwa na uunganishe kwa moja ya vifaa hivyo.
  • Kwa baadhi ya vifaa vya Bluetooth, sauti ya kifaa inaweza kudhibitiwa kwa kuteua kwenye orodha ya miunganisho.
  • Vifaa vya LG Sound Sync vitajaribu kiotomatiki kuunganisha kwenye vifaa vilivyotumiwa hivi majuzi unapowasha TV.
  • Tunapendekeza uunganishe kifaa cha sauti cha LG ambacho hutumia LG Sound Sync, kwa kutumia hali ya LG TV au hali ya LG Sound Sync kwenye kifaa.
Huenda baadhi ya modeli zisitumike.
Codec ya sauti inayoweza kutolewa kupitia Bluetooth ni SBC/aptXTM.
Kama kifaa kitashindwa kuunganisha, angalia uwezo wa kifaa kuunganisha na uangalie pia kama kifaa cha kutoa sauti kinafanya kazi vizuri.
Kutegemea aina ya kifaa cha Bluetooth, kifaa kinaweza kushindwa kuunganisha kwa njia nzuri au kikatenda kwa njia isiyo ya kawaida kama vile kuwa na video na sauti zisizolandanishwa.
Sauti inaweza kugogota au ubora wake ukapungua ikiwa:
Ikiwa Picha Teua Modi imewekwa kuwa Kiboreshaji Michezo naZao la Sauti imewekwa kuwa Kifaa cha Bluetooth, Picha Teua Modi itabadilika kwua Kawaida.
Ukiendelea kukumbana na matatizo, tunapendekeza kutumia muunganisho wa waya. ( Dijitali ya optical, tundu la HDMI (eARC/ARC) )
Kifaa cha Simu
Ukisakinisha programu ya LG ThinQ kwenye kifaa mahiri na uiunganishe kwenye TV yako, unaweza kutumia kifaa kama spika ya TV.