Teua Modi
Sauti
Teua Modi
Unaweza kuchagua sauti bora zaidi kwa kila utanzu wa muziki.
- Kawaida
- Huboresha sauti kwa kila aina ya maudhui.
- Sinema
- Huboresha sauti ya sinema.
- Sauti Wazi / Sauti Wazi ya Pro
- Huimarisha ubora wa sauti.
- Spoti / Soka / Cricket
-
Boresha sauti ili ifae michezo.
Jina la mchezo linaweza kuwa tofauti kutegemea nchi.
- Muziki
- Huboresha sauti ya muziki.
Mipangilio hii inapatikana tu unapotumia Spika za Ndani ya Runinga.
Vipengee vya kusanidiwa hutofautiana kutegemea modeli.