Inabadilisha ulandanishaji wa Sauti na Video
MipangilioMipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Mipangilio ya Kiwango cha Juu Linganisha Skrini na Sauti
Hurekebisha ulandanishaji wa sauti kutoka kwenye spika inayofanya kazi.
Kadri thamani inapokuwa karibu na 60, ndivyo kasi ya zao la sauti itakavyokuwa ya polepole kuliko kasi chaguomsingi.
Ukichagua Bypass, mawimbi ya utangazaji au sauti kutoka katika kifaa cha nje itatolewa bila ucheleweshaji. Sauti inaweza kutolewa kabla ya video kwa sababu ya muda unaochukuliwa na runinga kabla ya kutoa video.
Machaguo yaliyopo yanatofautiana kulingana na mipangilio ya Zao la Sauti.