Kutumia Kifaa cha Sauti kinachotumia eARC
Sauti
Mipangilio ya Kiwango cha Juu
Usaidizi wa eARC
eARC ni teknolojia inayoweza kutuma na kupokea taarifa zaidi za sauti haraka kutokana na kipimo data kipana kuliko kile cha ARC ya kisasa.
Unaweza kufurahia sauti ya TV yenye ubora wa juu zaidi kuliko ARC kupitia kifaa cha sauti kilichounganishwa.
- Unganisha kifaa cha sauti kinachotumia eARC kwenye tundu la HDMI (eARC/ARC).
- Enda kwa Zao la Sauti Tumia Spika ya Waya na uchague Kifaa cha HDMI(ARC).
- Weka Usaidizi wa eARC kuwa Imewashwa.