Mipangilio ya Sauti ya DTV
MipangilioMipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Mipangilio ya Kiwango cha Juu Mpangilio wa DTV wa Sauti
Kipengele hiki hukuwezesha uchague aina ya sauti unayotaka wakati miundo kadhaa inapopatikana.
Ikiwekwa kwenye Oto utaratibu wa kutafuta ni huu AC4 → HE-AAC → Dolby Digital Plus → Dolby Digital → MPEG halafu sauti hutolewa katika Aina ya Sauti inayopatikana kwanza.
Mfuatano huu wa kutafuta unaweza kubadilika kutegemea nchi : AC4 → HE-AAC → Dolby Digital Plus → Dolby Digital → MPEG.
Ikiwa Aina ya Sauti uliyochagua haiwezi kutumika, muundo mwingine wa Aina ya Sauti unaweza kutumiwa.
Huenda baadhi ya modeli zisitumike.