Urekebishaji Sauti Kiotomatiki
MipangilioMipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Mipangilio ya Kiwango cha Juu Urekebishaji Sauti Kiotomatiki
Ikiwa imewekwa kuwa Imewashwa, sauti itarekebishwa kiotomatiki kuwa kiwango kinachofaa kwa kila maudhui unayotazama ili kukusaidia kufurahia kutazama vizuri zaidi.
Mipangilio hii inapatikana tu unapotumia Spika za Ndani ya Runinga.