Ili uweze kutumia kipengele cha Mipangilio kwa haraka
Huonyesha vidhibiti vya kutumia kwa haraka na urahisi kama vile Modi ya Picha, Zao la Sauti, Kiboreshaji Michezo na kadhalika.
Bonyeza kitufe cha
katika kidhibiti cha mbali.
katika kidhibiti cha mbali.
- Unaweza kuweka Modi ya Picha.
- Unaweza kuweka Modi ya Sauti.
- Unaweza kuchagua Zao la Sauti.
- Huelekeza kwenye mipangilio ya Kiboreshaji Michezo.
- Huelekeza kwenye mipangilio ya OLED Care.
- Huelekeza kwenye mipangilio ya Mtandao.
-
Unaweza kuweka chaguo zinginezo.
Pia unaweza kubonyeza kwa muda mrefu kitufe cha
cha rimoti ili utumie mipangilio Yote moja kwa moja.
- Unaweza kuongeza/kufuta vipengee vya haraka vya mipangilio au kubadilisha mpangilio wa vipengee.
Songa kwenye kipengee kinachoweza kuwekwa, bonyeza kitufe cha rimoti cha mara moja kisha ubonyeze na ushikilie kitufe cha ili kusonga kwenye menyu.
Vipengee vya kusanidiwa hutofautiana kutegemea modeli.