Dashibodi ya Michezo
Wakati wa mchezo, unaweza kubadilisha haraka Aina ya Michezo na uangalie hali ya mipangilio kwa wakati halisi.
Bonyeza kitufe cha
katika kidhibiti cha mbali.
katika kidhibiti cha mbali.
Ukiunganisha kiweko cha michezo na uendeshe mchezo, Jumla Kiboreshaji Michezo inabadilishwa kuwa Imewashwa, na Picha Teua Modi inabadilishwa kuwa Kiboreshaji Michezo.
Dashibodi ya Michezo isipoonekana, tafadhali angalia kila mpangilio.
- Unaweza kuboresha skrini kutegemea na aina ya mchezo.
-
Ishara za wakati halisi na thamani za mipangilio ya aina zilizoteuliwa zinaonyeshwa.
Vipengee vinavyoonyeshwa vinaweza kutofautiana kulingana na muundo.
-
Modi ya Chumba chenye Giza
:
Unaweza kurekebisha ung`aavu wa skrini nzima ili kupunguza kuumiza macho katika mazingira yenye giza au wakati wa kutazama kwa muda mrefu ili kuifanya skrini rahisi kutazama.
Rangi ya Menyu : Unaweza kubadilisha rangi ya menyu.
Kiboreshaji Michezo : Huelekeza kwenye mipangilio ya Kiboreshaji Michezo. Ili kuona maelezo, bofya Mipangilio Kiboreshaji Michezo katika Mwongozo wa Mtumiaji.
Mipangilio Yote : Unaweza kuweka chaguo zinginezo. Pia unaweza kubonyeza kwa muda mrefu kitufe cha
cha rimoti ili utumie mipangilio Yote moja kwa moja.
- Fungua Mwongozo wa Mtumiaji.
Vipengee vya kusanidiwa hutofautiana kutegemea modeli.