OLED Care
Jumla
OLED Care
Hutoa huduma mbalimbali za utunzaji wa malipo kwa watumiaji wa OLED TV.
Huduma Binafsi ya Kifaa
Hutoa vipengele vingi ili kuboresha hali ya TV.
- Kiboreshaji Kumbukumbu
- Boresha TV yako kwa kuondoa programu zisizotumika au kumbukumbu isiyohitajika.
- Kuhifadhi Nishati
-
Hupunguza matumizi ya umeme kwa kurekebisha ung’aavu wa skrini ipasavyo.
- Hatua ya Kuokoa Nishati
-
- Imezimwa : Huzima Hatua ya Kuokoa Nishati.
- Kiwango cha chini / Kati / Kiwango cha juu : Tumia kipenge cha kuokoa nishati kulingana na Hatua ya Kuokoa Nishati iliyowekwa kwenye TV.
- Kuzima Kiotomatiki
-
Wakati TV imewashwa, inazimika kiotomatiki usipobonyeza kitufe chochote ndani ya muda uliowekwa.
Huenda baadhi ya modeli zisitumike.
- Skrini Imezimwa
-
Skrini huzimwa na sauti pekee kucheza.
Bofya kitufe chochote kisipokuwa cha umeme na vitufe vya sauti ili uruhusu skrini iwake tena.
Huenda baadhi ya modeli zisitumike.
Kama unatumia kipengele cha Hatua ya Kuokoa Nishati ung’aavu wa runinga yako utaathiriwa.
OLED Panel Care
Kutumia OLED Panel Care, unaweza kuimarisha masuala ya ubora wa picha yanayohusiana na picha kukwama kwenye skrini baada kukaa ikiwa imewashwa kwa muda mrefu.
- Usafishaji wa Pikseli
-
Hurekebisha matatizo yoyote ambayo yanaweza kutokea kwenye skrini televisheni yako inapowashwa kwa muda mrefu.
Upimaji unaweza kuchukua zaidi ya saa nzima.Usichomoe waya wa nishati inapofanya kazi.Ukiwasha televisheni, Usafishaji wa Pikseli itaacha kufanya kazi. - Kusonga kwa Skrini
- Hufanya skrini isonge baada ya muda maalum ili kuzuia picha kukwama kwenye sehemu ya kuonyesha.
- Rekebisha Ung`aavu wa Nembo
- Rekebisha mwanga wa pichatatic images such as logos withi tuli kama vile nembo katika maudhui husika iliurekebishe matatizo ya ubora wa picha yanayoweza kutokea.