Kiboreshaji Michezo
Huweka vipengele vya utumiaji wa juu unapocheza kwa kiweko cha michezo ya video.
  1. Bonyeza kitufe cha MipangilioMipangilio katika kidhibiti cha mbali.
  2. Chagua Kiboreshaji Michezo.
  3. Kuteua Imewashwa kunawasha mipangilio yote inayohusika.
Hufanya kazi tu na maingizo ya HDMI.
Ukiweka MipangilioMipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Picha Teua Modi hadi hali ambayo si Kiboreshaji Michezo, baadhi ya vipengee katika Kiboreshaji Michezo hawezi kuwekwa.
Ukiwasha kipengele hiki Imewashwa, huwezi kubadilisha baadhi ya vipengee vya mipangilio ya video.
Wakati Kiboreshaji Michezo imewekwa kuwa Imewashwa, uchelewaji wa sauti unaweza kutokea ukiwekwa Zao la Sauti kuwa Kifaa cha Bluetooth/Kifaa cha Optical Out/Kifaa cha HDMI(ARC). Tumia Tumia Spika ya TV au badilisha MipangilioMipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Mipangilio ya Kiwango cha Juu Teua Umbizo la Sauti ya Ingizo la HDMI kuwa PCM.
Vipengee vya kusanidiwa hutofautiana kutegemea modeli.
Mchezo
Aina ya Michezo
Unaweza kuboresha skrini kutegemea na aina ya mchezo.
OLED Motion
Unaweza kuifanya video kuwa safi zaidi kwa kuondoa picha za baadaye.
Punguza Mwanga wa Bluu
Unaweza kurekebisha zao la mwangaza wa samawati ili kupumzisha macho yako unapotazama skrini.
Modi ya Chumba chenye Giza
Unaweza kurekebisha ung`aavu wa skrini nzima ili kupunguza kuumiza macho katika mazingira yenye giza au wakati wa kutazama kwa muda mrefu ili kuifanya skrini rahisi kutazama.
Zuia kuchelewa kuweka (kulimatia kuweka)
Punguza uchelewaji wa ingizo kulingana na mawimbi ya picha.
Dashibodi ya Michezo
Ukiweka chaguo hili kuwa Imewashwa, unaweza kutumia kipengele cha Dashibodi ya Michezo.
Tafadhali tazama Mipangilio Mipangilio ya Haraka Dashibodi ya Michezo ya Mwongozo wa Mtumiaji kwa maelezo zaidi kuhusu Dashibodi ya Michezo.
VRR
Hii hupunguza skrini kuvunjika na video kuchelewa wakati wa kucheza mchezo.
Boresha Maeneo Yenye Giza
Unaweza kurekebisha ung`avu wa maeneo yenye giza kwa VRR kuwekwa kuwa Imewashwa.
Huenda isifanye kazi kawaida kutegemea na vipengele au mipangilio ya PC iliyounganishwa au kiweko cha michezo.
Rangi ya Menyu
Rangi ya menyu ya Kiboreshaji Michezo na Dashibodi ya Michezo inaweza kubadilishwa.
Mwongozo wa Mtumiaji
Sogeza kwenye programu ya Mwongozo wa Mtumiaji.
Picha
Kiimarishaji Cheusi
Unaweza kuboresha sehemu zenye giza.
Kiimarishaji Cheupe
Unaweza kuboresha sehemu zenye mwangaza.
Rekebisha Ulinganuzi
Hurekebisha utofautishaji wa rangi katika sehemu zenye ung’aavu na zenye giza kwenye picha.
Kiwango cha Weusi
Hurekebisha ung’aavu wa jumla wa skrini.
Unaweza kutumia mipangilio ya Kiwango cha Weusi kuweka sehemu ya giza ya picha.
Rekebisha Uangavu
Hurekebisha umadhubuti wa picha.
Kina cha Rangi
Hupunguza au kuongeza kukolea kwa rangi kwenye skrini.
Weka upya
Unaweza kubadilisha mipangilio.
Uwiano wa Kipengele Kipana
Unaweza kuboresha uwiano wa skrini kwa ajili ya mchezo.
Mkao wa Skrini
Unaweza kubadilisha mkao wa skrini unapouweka kwenye uwiano wa skrini pana.
Mipangilio ya Picha ya Juu
Sogeza kwenye MipangilioMipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Picha Mipangilio ya Kiwango cha Juu.