Ili kutumia kipengele cha Kuokoa Umeme
MipangilioMipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Jumla Kuhifadhi Nishati
Hupunguza matumizi ya umeme kwa kurekebisha ung’aavu wa skrini ipasavyo.
Hatua ya Kuokoa Nishati
Imezimwa : Huzima Hatua ya Kuokoa Nishati.
Kiwango cha chini / Kati / Kiwango cha juu : Tumia kipenge cha kuokoa nishati kulingana na Hatua ya Kuokoa Nishati iliyowekwa kwenye TV.
Kuzima Kiotomatiki
Wakati TV imewashwa, inazimika kiotomatiki usipobonyeza kitufe chochote ndani ya muda uliowekwa.
Huenda baadhi ya modeli zisitumike.
Skrini Imezimwa
Skrini huzimwa na sauti pekee kucheza.
Bofya kitufe chochote kisipokuwa cha umeme na vitufe vya sauti ili uruhusu skrini iwake tena.
Kama unatumia kipengele cha Hatua ya Kuokoa Nishati ung’aavu wa runinga yako utaathiriwa.