Kuweka TV
Jumla
Vifaa
Usimamizi wa TV
- Nyumbani/Modi ya Duka
-
Unaweza kuchagua kati ya Modi ya Nyumbani na Modi ya Duka.
Ili utumie runinga nyumbani, chagua Modi ya Nyumbani.
Teua Modi ya Duka wakati tu TV itakapoonyeshwa kwenye duka. Modi ya Duka hutoa mipangilio iliyoboreshwa kwa ajili ya onyesho la duka. - Anza Haraka+
-
Mipangilio hii huiweka runinga yako katika hali ya kutozimika kabisa inapozimwa kwa hivyo itasaidia kuharakisha kutumia vipengee vya runinga haraka inapowashwa tena.
Weka Anza Haraka+ kuwa Imewashwa.Huenda baadhi ya modeli zisitumike.Kuwasha chaguo hili kunaweza kuongeza matumizi ya umeme. - Maelezo ya TV
- Unaweza kutazama taarifa kama vile Modeli, Namba Tambulishi, Jina la Kifaa.