Sasisho la Orodha ya Idhaa
Jumla
Idhaa
Kitiuni Idhaa & Mipangilio
Sasisho la Orodha ya Idhaa
Hubadilisha maelezo ya Orodha ya Vituo kulingana na hali za utangazaji katika nchi na setilaiti.
Husasisha Orodha ya Vituo wakati TV imezimwa.
Orodha ya Vituo inaweza kubadiliska baada ya kusasisha. Ili kuzuia hali hii teua Imezimwa.
Husasisha Orodha ya Vituo wakati TV imezimwa.
Orodha ya Vituo inaweza kubadiliska baada ya kusasisha. Ili kuzuia hali hii teua Imezimwa.
Huenda baadhi ya modeli zisitumike.