Badilisha Vituo
Unaweza kubadilisha vituo vilivyochaguliwa kutoka kwenye vituo vilivyohifadhiwa au uviongeze/uvifute kutoka kwenye vituo uvipendavyo.
Badiliha Orodha ya Vituo vyote
Jumla
Idhaa
Kidhibiti cha Idhaa
Hariri kwa Idhaa Zote
Unaweza kufunga au kufungua vituo vilivyochaguliwa kutoka kwenye vituo vilivyohifadhiwa au unaweza kuweka mipangilio ya kuviruka unapobadilisha vituo.
- Weka chaguo la kupanga.
-
Funga / Fungua
:
Funga vituo vilivyochaguliwa au ufungue vituo vilivyofungwa.
Ruka / Rejesha : Weka vituo vilivyochaguliwa vitakavyorukwa wakati wa kubadilisha vituo, au uzime chaguo la kuruka vituo ambavyo awali vilikuwa vinarukwa.
Hamisha : Hamisha vituo vilivyochaguliwa.
Hariri Nambari za Idhaa : Badilisha nambari za vituo vilivyochaguliwa.
Futa : Futa vituo vyote vilivyochaguliwa.
Vipengele vinavyopatikana vinaweza kubadilika kulingana na ishara ya matangazo.
Kwa modeli aina zinazoweza kutumia vipindi vya setilaiti, unaweza kudhibiti vituo vya setilaiti katika Hariri Idhaa za Setilaiti (za Hali ya Juu).
Badilisha Orodha ya Vituo Uvipendavyo
Jumla
Idhaa
Kidhibiti cha Idhaa
Hariri kuwa Vipendwa
Unaweza kuongeza/kufuta vituo uvitakavyo kuelekea au kutoka kwenye vituo uvipendavyo, ubadilishe nafasi zao n.k.
- Chagua vituo unavyotaka kutoka kwenye orodha ya vipindi vyote na ubonyeze kitufe ili uziongeze kwenye orodha ya vituo uvipendavyo.
- Futa vituo vilivyochaguliwa kutoka kwenye orodha ya vituo uvipendavyo.
-
Hamisha
:
Teua idhaa moja au zaidi katika orodha ya Idhaa Unazopendelea, bonyeza kitufe cha Hamisha kisha uteue sehemu ya kuisogeza. Idhaa zilizoteuliwa zitasogezwa kwenye sehemu uliyoteua.
Badilisha Jina la Kikundi Kipendwa : Badilisha jina la orodha uipendayo ya vituo.
Panga kulingana na Idhaa : Panga orodha ya idhaa pendwa kulingana na idhaa.