Mapendekezo ya AI
MipangilioMipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Jumla Huduma ya AI Mapendekezo ya AI
Unaweza kupata ujumbe wa mapendekezo ya maudhui kulingana na historia yako ya kutazama maudhui na historia ya matumizi ya programu.
Kengele
Vidokezo Mahiri
Unaweza kupata utangulizi wa vipengele mahiri unavyoweza kutumia unapotazama TV au kutumia programu.
Kipengele cha Kuteua Yafuatayo
Unaweza kupata mapendekezo kulingana na mienendo yako ya kutazama TV.
Huenda kipengele hiki kisipatikane katika nchi nyingine.
Udhibiti wa Data ya Matumizi
Badilisha Data ya Matumizi
Huweka tena historia ya kutazama maudhui na historia ya matumizi ya programu. Ukizeweka upya, huchukua muda kupokea mapendekezo ya maudhui tena.
Vipengee vya kusanidiwa hutofautiana kutegemea modeli.