Kubadilisha Menyu kuwa Skrini ya Ulinganizi wa Juu
MipangilioMipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Jumla Ufikivu Ulinganuzi wa hali ya Juu
Kipengee hiki kinapowekwa kuwa Imewashwa, hurekebisha mandharinyuma ya baadhi ya menyu kwenye skrini na rangi za fonti ili kuangazia ulinganuzi kati ya maeneo yenye mwangaza na yasiyo na mwangaza.