Mwongozo wa kutazama
Unaweza kutazama vipindi na ratiba ya kila kipindi.
-
Endesha Live TV kwa kubonyeza
.
-
Bonyeza kitufe cha
kwenye kidhibiti mbali na uteue Mwongozo.
- Teua kila eneo ili ufikie kipengele kinacholingana.
- Sasa unaweza kutazama maelezo yaliyo katika idhaa na kitangazaji.
- Unaweza kuangalia maelezo kuhusu kipindi unachotazama sasa pamoja na maelezo kuhusu kipindi kilichoangaziwa.
-
Chagua kitufe cha
au ya programu unayotaka.
Unaweza kutazama taarifa zaidi kwenye programu na kutekeleza Tazama/Rekodi (zinapatikana kwenye modeli fulani pekee) au Kumbusho/Kurekodi Kulikoratibiwa (zinapatikana kwenye modeli fulani pekee), n.k.
- Utaelekezwa kwenye orodha ya vipindi ya tarehe leo na wakati uliopo.
-
Kidhibiti cha Idhaa
:
Fungua Kidhibiti cha Idhaa.
Safu ya Idhaa : Unaweza kubadilisha kiasi cha orodha ya vipindi urekebishe orodha ya idhaa zilizoonyeshwa kwenye skrini.
Vichujio : Inaweka kichujio.
Mini TV : Unaweza kuwasha/kuzima televisheni Ndogo.
Mwongozo wa Mtumiaji : Sogeza kwenye programu ya Mwongozo wa Mtumiaji. - Hufunga programu.
Maelezo ya vipindi hayaonyeshwi kwa idhaa zisizo na maelezo ya utangazaji.
Huenda baadhi ya modeli zisitumike.
Vipengee vya kusanidiwa hutofautiana kutegemea modeli.