Ili kutumia Maandishi ya televisheni
Maandishi ya televisheni ni huduma ya bure inayotolewa na idhaa ya TV na inakupa maelezo kwa njia ya maandishi kuhusu vipindi vya TV, habari na hali ya hewa.
Dikoda ya maandishi ya televisheni hii inaweza kutumia mifumo ya SIMPLE, TOP na FASTEXT.
Dikoda ya maandishi ya televisheni hii inaweza kutumia mifumo ya SIMPLE, TOP na FASTEXT.
-
Bonyeza kitufe cha
katika kidhibiti cha mbali.
- Chagua Matini ya televisheni.
- Diriisha la Teletext hutokea.
-
Ili kutazama matangazo ya TV na MATINI YA TELEVISHENI kwa wakati mmoja, bonyeza kitufe cha
kwenye rimoti na uteue Matini ya televisheni.
- Kitufe cha Rangi
- Ili kuchagua ukurasa unaotangulia au unaofuata.
- Kitufe cha Nambari
- Huweka nambari ya ukurasa unaofaa kuhamia.
-
/
Kitufe cha
- Ili kuchagua ukurasa unaotangulia au unaofuata.
Huenda baadhi ya modeli zisitumike.
Kipengele Maalum cha Maandishi kwenye Televisheni
-
Bonyeza kitufe cha
katika kidhibiti cha mbali.
- Chagua Chaguo la Matini ya Televisheni.
- Chagua menyu ya Matini ya televisheni.
-
Kielelezo
- Chagua kila ukurasa wa kielezo.
-
Wakati
-
Unapotazama kituo cha TV, chagua menyu hii ili uoneshe wakati katika pembe ya upande wa juu kulia kwenye skrini.
Kwenye hali ya matini, bonyeza kitufe hiki kuchagua nambari ya ukurasa mdogo. Nambari ya ukurasa mdogo inaonyesha chini ya skrini. Ili kushikilia au kubadilisha ukurasa mdogo, bonyeza vitufe vya
/
,
/
au Nambari.
-
Shikilia
- Husitisha ubadilishaji wa ukurasa kiotomatiki unaojitokeza ikiwa ukurasa wa maandishi una kurasa 2 au kurasa zaidi ndogo ndogo. Kwa kwaida, nambari za kurasa ndogo na ya ule ukurasa mdogo zitaonyeshwa kwenye kiwamba chini ya saa. Wakati menyu hii inapochaguliwa, alama ya stop inaonyeshwa kwa juu, upande wa kushoto wa kiwamba na mabadiliko ya ukurasa wa otomatiki yako siamilifu.
-
Dhihirisha
- Chagua menyu hii ili uoneshe maelezo yaliyofichika, kama vile majibu ya vitendawili au mafumbo.
-
Sasisha
- Inaonyesha picha ya runinga kwenye kiwamba ukiingojea kurasa ya matini. Picha itaonyesha kwenye sehemu ya juu, kushoto ya kiwamba. Wakati ukurasa uliosasishwa utakapopatikana, picha itageuka kuwa nambari ya ukurasa. Chagua menyu hii tena ili kuweza kuuangalia ukurasa wa matini iliyosasishwa.
- Lugha
-
Inaweka Lugha ya Teletext kwenye Runinga.
Katika Hali ya Dijitali Pekee
Ili uone Lugha Inayotumiwa katika Matangazo ya Maandishi
Tumia kipengele cha lugha ya maandishi ya televisheni wakati lugha mbili au zaidi za maandishi ya televisheni zimetumika.
-
Bonyeza kitufe cha
katika kidhibiti cha mbali.
-
Chagua
Jumla Mfumo Lugha (Language) Lugha ya Msingi ya Matini ya Televisheni/Lugha ya Pili ya Matini ya televisheni.
Katika Hali ya Dijitali Pekee
Ikiwa data ya maandishi ya televisheni katika lugha iliyochaguliwa haijatangazwa, lugha chaguo-msingi itatumika.
Ukichagua nchi isiyofaa, huenda maandishi ya televisheni yasionekane ipasavyo kwenye skrini na hitilafu inaweza kutokea wakati wa uendeshaji wa maandishi ya televisheni.