Kutazama Idhaa ya Intaneti
Unaweza kutazama matangazo ya wakati halisi kupitia huduma hii kwenye Intaneti.
Unaweza kuona taarifa kwenye Idhaa mpya za Intaneti au kudhibiti idhaa unazopenda katika LG Channels.
Unaweza kuona taarifa kwenye Idhaa mpya za Intaneti au kudhibiti idhaa unazopenda katika LG Channels.
Bonyeza kitufe cha
kwenye kidhibiti mbali na uteue LG Channels.
Pia unaweza kutazama LG Channels kwa kubonyeza vitufe vya
/
kwenye rimoti.
kwenye kidhibiti mbali na uteue LG Channels.
Pia unaweza kutazama LG Channels kwa kubonyeza vitufe vya
/
kwenye rimoti.
Unaweza kutumia huduma ya ’Interactive Channel’ ambayo huwezesha watumiaji kufurahia maudhui yanayohusiana na idhaa ya sasa bila kuhitajika kubadilisha programu.
Unaweza kutumia ’Interactive Channel’ kwa kusukuma vitufe kwenye kidhibiti mbali au kubofya skrini yako kulingana na maagizo yanayoonekana kwenye idhaa ya Intaneti.
Unaweza kutumia ’Interactive Channel’ kwa kusukuma vitufe kwenye kidhibiti mbali au kubofya skrini yako kulingana na maagizo yanayoonekana kwenye idhaa ya Intaneti.
Huenda baadhi ya modeli zisitumike.
Lazima uunganishe kwenye mtandao na ukubali Makubaliano ya Mtumiaji kabla hujaitumia.
Katika
Jumla Mfumo Eneo, Nchi ya Utangazaji na Nchi ya Huduma lazima ziwe sawa. Ukibadilisha yoyote, huwezi kutumia huduma.
Jumla Mfumo Eneo, Nchi ya Utangazaji na Nchi ya Huduma lazima ziwe sawa. Ukibadilisha yoyote, huwezi kutumia huduma.
Huku ukitazama Idhaa ya Intaneti, bofya kitufe cha
kwenye Kidhibiti mbali. Unaweza kuanzisha LG Channels.
kwenye Kidhibiti mbali. Unaweza kuanzisha LG Channels.
Baadhi ya maudhui yanaweza kusababisha kubadilisha kutoka programu ya Live TV hadi programu tofauti.
Huenda baadhi ya idhaa za Intaneti zisitumie huduma hii.
Live Playback na rekodi hazipatikani kwa idhaa hizi za intaneti.
Huduma za Idhaa ya Intaneti zinaweza kusimamishwa au kubadilishwa bila ilani ya mapema na kampuni inayotangaza.