Kutumia Kitufe cha Kidhibiti Mbali
Bonyeza kwa ufupi au ubonyeze kisha ushikilie kitufe cha kidhibiti mbali ili ufikie vipengele mbalimbali vya utendaji.
Kwa vitufe vyenye
, bonyeza kwa muda mrefu (shikilia kwa zaidi ya sekunde moja).
, bonyeza kwa muda mrefu (shikilia kwa zaidi ya sekunde moja).
-
:
Unaweza kuwasha/kuzima king`amuzi.
- : Inakagua idhaa zilizohifadhiwa.
-
:
Skrini ya kubadilisha Ufikiaji Haraka itaonekana.
-
:
Onyesha vitufe vya ziada kwenye kidhibiti mbali.
:
Hutamka maelezo ya maudhui yaliyo kwenye skrini.
(Huenda baadhi ya modeli zisitumike.)
-
:
Rekebisha kiwango cha sauti.
-
:
Chagua kuzima sauti kwenye TV.
:
Andika menyu ya Ufikivu.
-
:
Unaweza kubadilisha idhaa.
-
:
Angalia maudhui yanayopendekezwa.
(Huenda huduma ya mapendekezo isipatikane kutegemea na nchi ulizo.)
Unaweza kutumia kipengele cha utambuzi wa sauti kwa kushikilia kitufe cha chini na kuzungumza ukielekeza juu ya kidhibiti mbali. -
:
Huonyesha Menyu ya mwanzo.
:
Hufungua programu iliyotumika mara ya mwisho.
-
:
Huingia katika menyu ya Mipangilio ya Haraka.
:
Huingia katika menyu ya Mipangilio Yote.
-
:
Songa kwenye hatua ya awali.
:
Hufunga menyu.
- : Fungua Mwongozo.
- : Huonyesha orodha iliyotumika awali. (Huenda baadhi ya modeli zisitumike.)
-
:
Huchagua chanzo cha ingizo.
:
Kuingia kwenye Dashibodi ya Nyumbani.
- : Huonyesha menyu ya king`amuzi. (Huenda baadhi ya modeli zisitumike.)
-
:
Fungua Rekodi.
Alama na sehemu za vitufe vya kidhibiti mbali zinaweza kutofautiana kutegemea na modeli.
Kutumia Magic Remote
-
Ukitikisa Magic Remote kushoto na kulia au uzungushe kigurudumu chake unapoelekeza kwenye TV, kiashiria kitaonekana kwenye skrini ya TV.
Ukisogeza kidhibiti cha mbali katika upande unaotaka, kiashiria kitafuata mwendo. - Sogeza kiashiria kiangalie upande unaotaka kisha ubonyeze kitufe cha kutekeleza utendaji unaotaka.
-
Kama kiashiria hakijatumika kwa muda fulani, kitatoweka. Kiashiria kikitoweka kutoka kwenye skrini, tingisha Magic Remote kulia na kushoto. Halafu kitatokea tena.
Kiashiria kitatoweka ukibonyeza vitufe vya
/
/
/
na rimoti itafanya kazi kama kidhibiti mbali wastani.
-
Unaweza kudhibiti TV kwa kusogeza au kubonyeza kitufe cha katikati ya vitufe vya
/
/
/
.
Unapotazama skrini inayohitaji kusogeza, unaweza kusonga juu na chini kwa urahisi kwa kusogeza kitufe cha .
Unapotazama video, unaweza kubonyeza kitufe cha ili kusitisha/kucheza.
Kama kiashiria bado hakifanyi kazi, unaweza kukiweka upya kwa kukisogeza hadi pembeni mwa skrini.
Tumia kidhibiti mbali ndani ya umbali wa kufanyia kazi (ndani ya mita 10).
Ikiwa kuna kikwazo baina ya TV na kidhibiti mbali, huenda isifanye kazi inavyofaa.
Kutegemea na vifaa vya pembezoni (kisambaza data pasiwaya, tanuri la kikanza, n.k.), hitilafu za mawasilianao zinaweza kutokea.
Magic Remote inaweza kushindwa kufanya kazi kutokana na kuanguka.
Tahadhari usije ukaangukia fenicha, vifaa vya kielekroniki au watu wengine wakati ukitumia Magic Remote.
Kwa maelezo kuhusu kusanidi kiashiria cha Magic Remote, tazama Mwongozo wa Mtumiaji Mipangilio Mfumo Machaguo ya Kielekezi.