Kutumia programu kwa wepesi na urahisi kupitia Ufikiaji Haraka
Bonyeza na ushikilie kitufe cha nambari kwenye kiungambali ili ufungue programu au kuwasha chanzo kingine cha maudhui kilichosajiliwa katika kitufe hicho.
Kuweka Ufikiaji Haraka
- Anzisga progra au uchague idhaa au ingizo unalotaka kukabidhi.
- Bonyeza na ushikilie kitufe cha nambari (~) unayotaka kusajili.
- Kidirisha ibukizi cha kusajili kikitokea, chagua Ndiyo.
Ukibofya na kushikilia kitufe cha nambari ambacho tayari kimesajiliwa, jukumu lililosajiliwa litatekelezwa.
Ili uone vitu unavyoweza kusajili, teua nambari ambayo tayari imesajiliwa kwenye katika modi ya kubadilisha Ufikiaji Haraka.
Kama unatumia hali ambapo Ufikiaji Haraka haiwezi kutumika, hakuna kitendo kitatekelezwa.
Ukifuta programu iliyokuwa imesajiliwa, Ufikiaji Haraka pia itaondolewa.
Kukagua na kubadilisha Ufikiaji Haraka
Bonyeza na ushikilie kitufe cha nambari kwenye kidhibiti cha mbali.
Skrini ya kubadilisha Ufikiaji Haraka itaonekana.
Skrini ya kubadilisha Ufikiaji Haraka itaonekana.
- Kuchagua nambari ambayo tayari imesajiliwa huwezesha usajili huo ubatilishwe.
-
Unapochagua nambari ambayo haijasajiliwa, utaona vipengele ambavyo unaweza kusajili.
Jukumu ambalo limesajiliwa katika nambari tofauti huonyeshwa kwa alama tiki.
- Unaweza kuona maelezo mafupi kuhusu jukumu hili.