Ili kutazama vipengele zaidi vya kidhibiti mbali
Unaweza kudhibiti vipengele zaidi au vifaa vya nje vilivyounganishwa kwenye TV yako kwa kutumia vitufe vinavyoonyeshwa kwenye skrini ya TV yako.
  1. Bonyeza kitufe cha Vitendo ZaidiVitendo Zaidi katika kidhibiti cha mbali.
  2. Kwa kutumia kidhibiti mbali, teua kitufe unachotaka kwenye Vitendo Zaidi kilichoonyeshwa kwenye skrini yako ya TV.

Vitendo ZaidiVitendo Zaidi

  1. Vipengele hivi vinaweza kutumiwa wakati unatazama matangazo ya moja kwa moja.
  2. Vipengele hivi vya TV vinapatikana sasa.
  3. Vipengele vya ziada vinaweza kuwekwa wakati unatazama matangazo ya moja kwa moja.
    Vipengele vinavyopatikana vinaweza kubadilika kulingana na ishara ya matangazo.
Aina ya vitufe vinavyotokea kwenye Vitendo Zaidi hutofautiana, kulingana na eneo na aina ya kifaa kilichounganishwa.