Mikato ya Ufikivu
Unaweza kwenda moja kwa moja kwenye Ufikivu bila kuingia katika menyu ya Mipangilio ya Kina.
Bonyeza na ushikilie kitufe cha NYAMAZISHANYAMAZISHA kwenye kidhibiti chako cha mbali.
Katika Ufikivu, unaweza kuweka Ulinganuzi wa hali ya Juu, Mpako wa kijivu, Geuza Rangi, n.k.