Utafutaji wa Maudhui
Utafutaji wa maudhui kulingana na kichwa, mwigizaji na aina.
-
Bonyeza kitufe cha
katika kidhibiti cha mbali.
-
Inaanzisha
.
- Tafuta aina mbalimbali za maudhui na habari kwa kutumia maneno yafaayo ya utafutaji.
- Ingiza neno unalotafuta.
- Huonyesha mambo uliyotafuta hivi majuzi.
- Unaweza kuteua moja kutoka kwenye maneno msingi yaliyopendekezwa na uende kwenye utafutaji.
- Unaweza kuvinjari maudhui kulingana na aina.
Lazima uunganishe kwenye mtandao ili utumie kipengele cha utafutaji.
Matokeo ya utafutaji pia yanaweza kutofautiana kutegemea kituo, eneo, lugha, mipangilio ya mtandao na kama umekubaliana na sheria na masharti.