Pendekezo la Maudhui
Unaweza kupata mapendekezo ya maudhui kulingana na kipindi unachokitazama au wabia wa kutazama TV.
Ikiwa unatazama TV kwa kutumia kisanduku cha kupeperushia matangazao, lazima ukamilishe usanidi wa rimoti ya jumla ili utumie kipengele cha mapendekezo kawaida. Kwa maelezo zaidi, angalia Jinsi ya Kuendesha TV Kutumia Rimoti ya Jumla katika Mwongozo wa Mtumiaji.

-
Bonyeza kitufe cha
katika Magic Remote.
Skrini ya Mapendekezo ya Maudhui inaonekana.
-
Unaweza kutazama maudhui zaidi kwa kubonyeza ikoni ya
kwenye skrini.
Unapotumia rimoti ya kawaida, bonyeza kitufe cha
kwayo.
kwayo.
Huenda baadhi ya modeli zisitumike.
Lazima uunganishwe kwenye mtandao ili utumie kipengele cha mapendekezo.
Huduma hizi zinatofautiana kulingana na nchi, hivyo mapendekezo yanaweza kutolewa kwa njia tofauti.
Orodha ya mapendekezo inaweza kutokuwa muhimu sana au kutokuwa muhimu, kutegemea na taarifa ya kipindi unachotazama.